Nainai Music


FAQ

Nainai Music Haya Ni MASWALI na MAJIBU Kuhusu Website Yetu!

Baadhi Ya Watu Hujiuliza Maswali Kama Ifuatavyo!

1: nainaimusic.com ni Tovuti ya Namna Gani?

JIBUnainaimusic.com ni tovuti ambayo inaweka kazi za wasanii ili ziweze kuonekana kwa watembeleaji kupitia Kutafuta kwenye Google, Yahoo, Yandex na kwenye mitandao mingine ya kutafuta Vitu Search Engine

2: Nawezaje kuweka wimbo wangu ukaonekana kwenye Website ya nainaimusic.com?

JIBU:  Tunapokea nyimbo kupitia Email, nainaimedia@gmail.com au Bonyeza Whatsapp +255767135136

3:  Je naweza Kutuma Nyimbo kupitia Email au  Whatsapp?

JIBU: Ndio unaweza kutuma kupitia WhatsApp utume kama Documents Nyaraka

4: Je ni Nyimbo za aina gani Naweza Kutuma nainaimusic.com?

JIBU: Tunapokea Mahadhi ya nyimbo zote (Lakini ziwe na Maadili Mazuri Na Yakuvutia Pamoja na Kuelimisha Jamii) ikiwa ni pamoja na picha ,video na sauti kutoka kwa wamiliki au wawakilishi walioidhinishwa ambao wanamiliki haki zote.

5: Je Kuna Malipo yoyote ya Pesa Msanii hupata akiweka Nyimbo Zake Kupitia nainaimusic.com?

JIBU: HAPANA ,nainaimusic.com inawapa watembeleaji Kutazama Video bure, upakuaji wa sauti au utiririshaji/Kusikiliza.  Hii inamaanisha kuwa, huduma zetu zote ni Bure kwa dhumuni la Kutangaza na kuendeleza Kazi za Wasanii na kwa hivyo hatuuzi muziki wa msanii, video au picha yoyote kwa mtu wa tatu.

6: Je Nikiweka Wimbo Wangu Mtu Anaweza Kutazama Au kusikiliza na watazamaji wakaongezeka kwenye Akaunti yangu? Mfano Youtube Au BoomPlay na Audiomack!

JIBU: NDIYO, Wimbo wa Msanii unapowekwa kwetu iwe Video au Sauti , Basi huwa tunanakiri upachikaji (Embed Code) kutoka kwenye Akauti ya msanii ambayo ipo kwenye tovuti za watu wengine. Mfano kusikiliza kutoka BoomPlay, Audiomack, Youtube na tovuti zingine ambazo zina huduma ya Upachikaji (Embed Code).

Zingatia: Hatuhusiki na tovuti za watu wengine kama BoomPlay, Audiomack, Youtube N.k kwa namna yoyote ile iwe kuhesabu watembeleaji au kuhusu malipo yanayofanyika huko, Hatudhibiti yaliyomo au viungo vinavyoonekana kwenye tovuti hizi na hatuwajibiki kwa namna yoyote ile na wavuti zilizounganishwa kutoka kwa Tovuti yetu, Kama inavyojieleza Kwenye Kipengele cha Sera ya faragha (Privacy Policy)

7: Je nawezaje Kutoa Wimbo wangu ambao umetumwa na mtu ambaye Hana hakimiliki?

JIBU: Kama umeuona wimbo wako ambao hujapenda uwepo kwenye tovuti yetu, Tunakuomba utume maelezo au malalamishi ya kutaka kuondoa wimbo wako kupitia Email yetu ya nainaimedia@gmail.com Au   Whatsapp +255767135136  na mafundi wetu wataweza kuondoa kazi yako ndani ya Masaa Kadhaa ikiwa tu watajiridhisha kuwa una haki zote za wimbo huo.

Hizi ni Baadhi ya faida ya Kufanya kazi Na Tovuti Yetu  nainaimusic.com

ZIJUE BAADHI YA FAIDA ZA KUWEKA WIMBO WAKO KATIKA TOVUTI YETU nainaimusic.com

  •  Wimbo wako utaonekana Kwenye Mitandao yote ya Kutafutia Vitu Mbalimbali kama Google , Bing , Ask , Yahoo na Mitandao mingine inayotumika Katika Utafutaji Vitu Mtandaoni na kufanya wimbo wako kujulikana zaidi.
  • nainaimusic.com inatazamwa Zaidi ya Watu Millioni10+ nakuendelea kwa Mwezi Mmoja.. Hivyo basi wimbo wako utaonekana kwa Watembeleaji wengi pia.
  • nainaimusic.com ina sehemu ya Kushare/Kusambazia Muziki wako kama Facebook , Twitter, Instagram, Pamoja na Mitandao mingine ya kijamii ambayo unaweza kutumia kwa Kuwasambazia Marafiki na jamaa Kwapamoja Wakafurahia Huduma Yetu.
  • Mtembeleaji wa tovuti yetu ataweza Kudownload au kusikiliza Wimbo wako kwa urahisi Zaidi Kupitia Player ambazo zimeambatanishwa na akaunti yako kutoka mitandao ya kulipia Kama Audiomack, Youtube, BoomPlay n.k.

Pia Kama Unabiashara unataka Ijulikane Kwa Haraka zaidi Hapa Nchini Tanzania Pamoja na Duniani Kote Usiogope Wasiliana nasisi Tutakutangazia Biashara yako Kwa bei nafuu kabisa ili uongeze wateja kwenye biashara yako.Tafadhali Wasiliana nasi Kupitia Email nainaimedia@gmail.com. Au Bonyeza Whatsapp +255767135136

Kama una Swali lolote usisite Kutuuliza Kupitia Email Yetu nainaimedia@gmail.com.Au Bonyeza Whatsapp +255767135136

Asante Kwakutembelea Website yetu nainaimusic.com Na Karibu Kwa nyimmbo Mpya Zinazotoka kila Siku. 

Whatsapp                                                                                                                                                         

Post a Comment

0 Comments